Waziri Mkuu bungeni leo Aprili 28,2023

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akiwasalimiana na wanafunzi wa shule ya Msingi ya Peace Academy ya Mkoani Arusha, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Aprili 28, 2023.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge, Constantine Kanyasu wa Geita Mjini, (Kulia) Iddi Kassim Iddi wa Msalala (wa pili kulia ) na Mhe. Atupele Mwakibete wa Busokelo ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi , bungeni jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Hai, Saashisha Mafuwe na Mhe. Priscus Tarimo wa Moshi Mjini kwenye viwanja vya bunge, bungeni jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Maji Jumaa Aweso bungeni jijini Dodoma, Aprili 28, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news