Hafla ya uwekaji Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Ofisi za Makao Makuu ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro

NA JOHN MAPEPELE

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa, Dkt. Philip Mpango ameweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Ofisi za Makao Makuu ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro linalojengwa wilayani Karatu mkoani Arusha. Katika hafla hiyo, Waziri wa Maliasili na Utalii, Mheshimiwa Mohammed Mchengerwa amesema;

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news