Makamu wa Rais aweka jiwe la msingi ujenzi wa ofisi za NCAA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa, Dkt. Philip Mpango akiweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Ofisi za Makao Makuu ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro linalojengwa wilayani Karatu mkoani Arusha tarehe 16 Mei, 2023.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Mohamed Mchengerwa wakati alipowasili katika hafla ya Uwekaji Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Ofisi za Makao Makuu ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro linalojengwa Wilayani Karatu Mkoani Arusha. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akihutubia Viongozi, Maafisa, Askari na Wananchi mbalimbali wakati wa hafla ya uwekaji Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Ofisi za Makao Makuu ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro linalojengwa Wilayani Karatu Mkoani Arusha. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa mbalimbali wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro mara baada ya hafla ya uwekaji Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Ofisi za Makao Makuu ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro linalojengwa Wilayani Karatu Mkoani Arusha.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news