MHESHIMIWA SENYAMULE ASHIRIKI MAZIKO YA MTOTO WA MALECELA

MKUU wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule pamoja na viongozi wa mbalimbali wa Serikali ameshiriki katika maziko ya mtoto wa Waziri Mkuu Mstaafu Mzee John Samwel Malecela, marehemu William Malecela (Le Mutuz) aliyefariki dunia Mei 14, 2023, na kuzikwa leo Mei 17, 2023 katika eneo la Mvumi, Dodoma.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news