Ofisi ya Waziri Mkuu yang'ara Mei Mosi jijini Dodoma









Matukio katika picha yakionesha ushiriki wa Ofisi ya Wziri Mkuu katika Maadhimisho ya Sherehe za Mei Mosi, 2023 ambapo yameadhimishwa kimkoa katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.Kauli Mbiu ya Mwaka huu ni; "MISHAHARA BORA NA AJIRA ZA STAHA NI NGUZO KWA MAENDELEO YA WAFANYAKAZI, WAKATI NI SASA".

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news