Sekta ya Uchukuzi washiriki Maadhimisho ya Sherehe za Mei Mosi jijini Dodoma

Watumishi wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, (Sekta ya Uchukuzi) wakipita mbele ya Mgeni Rasmi, katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani-Mei Mosi 2023 yaliyofanyika katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.
Watumishi wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, (Sekta ya Uchukuzi) wakiwa katika Picha ya Pamoja katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani-Mei Mosi 2023 yaliyofanyika katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.(Picha na WUU).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news