Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Mei 10, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.86 na kuuzwa kwa shilingi 17.01 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.09 na kuuzwa kwa shilingi 2.26.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Mei 10, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 225.69 na kuuzwa kwa shilingi 227.90 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 124.89 na kuuzwa kwa shilingi 126.13.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2303.64 na kuuzwa kwa shilingi 2326.68 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7514.25 na kuuzwa kwa shilingi 7586.92.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2901.44 na kuuzwa kwa shilingi 2931.38 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.03 na kuuzwa kwa shilingi 2.09.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 627.42 na kuuzwa kwa shilingi 633.52 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.82 na kuuzwa kwa shilingi 149.13.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2524.56 na kuuzwa kwa shilingi 2550.74.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 17.05 na kuuzwa kwa shilingi 17.22 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 333.85 na kuuzwa kwa shilingi 336.20.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1555.88 na kuuzwa kwa shilingi 1571.67 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3113.14 na kuuzwa kwa shilingi 3144.27.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.59 na kuuzwa kwa shilingi 0.62 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.20 na kuuzwa kwa shilingi 2.22.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1720.29 na kuuzwa kwa shilingi 1736.98 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2579.96 na kuuzwa kwa shilingi 2604.59.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today May 10th, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 627.4223 633.5239 630.4731 10-May-23
2 ATS 147.8249 149.1347 148.4798 10-May-23
3 AUD 1555.8809 1571.6723 1563.7766 10-May-23
4 BEF 50.4245 50.8709 50.6477 10-May-23
5 BIF 2.2056 2.2222 2.2139 10-May-23
6 CAD 1720.2924 1736.9764 1728.6344 10-May-23
7 CHF 2579.9569 2604.5897 2592.2733 10-May-23
8 CNY 332.8484 336.104 334.4762 10-May-23
9 DEM 923.0451 1049.2356 986.1403 10-May-23
10 DKK 339.1702 342.5366 340.8534 10-May-23
11 ESP 12.2255 12.3333 12.2794 10-May-23
12 EUR 2524.5629 2550.7393 2537.6511 10-May-23
13 FIM 342.1117 345.1433 343.6275 10-May-23
14 FRF 310.1005 312.8435 311.472 10-May-23
15 GBP 2901.4391 2931.3841 2916.4116 10-May-23
16 HKD 293.7496 296.6796 295.2146 10-May-23
17 INR 28.0775 28.3393 28.2084 10-May-23
18 ITL 1.0505 1.0598 1.0552 10-May-23
19 JPY 17.0514 17.2181 17.1347 10-May-23
20 KES 16.8642 17.0079 16.936 10-May-23
21 KRW 1.7397 1.7563 1.748 10-May-23
22 KWD 7514.2498 7586.9176 7550.5837 10-May-23
23 MWK 2.089 2.26 2.1745 10-May-23
24 MYR 518.0219 522.6145 520.3182 10-May-23
25 MZM 35.8098 36.1118 35.9608 10-May-23
26 NLG 923.0451 931.2307 927.1379 10-May-23
27 NOK 218.0675 220.2023 219.1349 10-May-23
28 NZD 1457.5153 1473.0211 1465.2682 10-May-23
29 PKR 7.6864 8.1344 7.9104 10-May-23
30 RWF 2.0359 2.0975 2.0667 10-May-23
31 SAR 614.2886 620.3984 617.3435 10-May-23
32 SDR 3113.1439 3144.2753 3128.7096 10-May-23
33 SEK 225.6992 227.9003 226.7997 10-May-23
34 SGD 1736.2403 1752.9421 1744.5912 10-May-23
35 UGX 0.5945 0.6238 0.6091 10-May-23
36 USD 2303.6436 2326.68 2315.1618 10-May-23
37 GOLD 4671236.274 4719111.9768 4695174.1254 10-May-23
38 ZAR 124.8966 126.1278 125.5122 10-May-23
39 ZMW 122.9455 127.6642 125.3048 10-May-23
40 ZWD 0.431 0.4398 0.4354 10-May-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news