Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Mei 12, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2908.59 na kuuzwa kwa shilingi 2932.86 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.04 na kuuzwa kwa shilingi 2.09.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 627.52 na kuuzwa kwa shilingi 633.62 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.85 na kuuzwa kwa shilingi 149.16.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2519.96 na kuuzwa kwa shilingi 2546.09.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 17.21 na kuuzwa kwa shilingi 17.38 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 333.21 na kuuzwa kwa shilingi 335.47.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Mei 12, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1553.40 na kuuzwa kwa shilingi 1569.40 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3105.42 na kuuzwa kwa shilingi 3136.48.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.59 na kuuzwa kwa shilingi 0.62 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.21 na kuuzwa kwa shilingi 2.22.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1716.76 na kuuzwa kwa shilingi 1733.41 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2583.33 na kuuzwa kwa shilingi 2607.99.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.85 na kuuzwa kwa shilingi 16.99 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.24.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 224.59 na kuuzwa kwa shilingi 226.78 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 120.33 na kuuzwa kwa shilingi 121.45.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2304.07 na kuuzwa kwa shilingi 2327.11 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7519.56 na kuuzwa kwa shilingi 7592.28.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today May 12th, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 627.5211 633.6237 630.5724 12-May-23
2 ATS 147.8522 149.1622 148.5072 12-May-23
3 AUD 1553.4035 1569.403 1561.4033 12-May-23
4 BEF 50.4338 50.8802 50.657 12-May-23
5 BIF 2.206 2.2226 2.2143 12-May-23
6 CAD 1716.7643 1733.4153 1725.0898 12-May-23
7 CHF 2583.327 2607.9906 2595.6588 12-May-23
8 CNY 332.2091 335.4731 333.8411 12-May-23
9 DEM 923.2157 1049.4295 986.3226 12-May-23
10 DKK 338.3759 341.7095 340.0427 12-May-23
11 ESP 12.2277 12.3356 12.2817 12-May-23
12 EUR 2519.9606 2546.091 2533.0258 12-May-23
13 FIM 342.1749 345.2071 343.691 12-May-23
14 FRF 310.1578 312.9014 311.5296 12-May-23
15 GBP 2903.5881 2932.8567 2918.2224 12-May-23
16 HKD 293.9876 296.9162 295.4519 12-May-23
17 INR 28.0886 28.3618 28.2252 12-May-23
18 ITL 1.0507 1.06 1.0554 12-May-23
19 JPY 17.2151 17.3834 17.2992 12-May-23
20 KES 16.8549 16.9986 16.9268 12-May-23
21 KRW 1.7355 1.7519 1.7437 12-May-23
22 KWD 7519.563 7592.2808 7555.9219 12-May-23
23 MWK 2.0851 2.2457 2.1654 12-May-23
24 MYR 516.6075 521.1893 518.8984 12-May-23
25 MZM 35.7664 36.068 35.9172 12-May-23
26 NLG 923.2157 931.4028 927.3093 12-May-23
27 NOK 218.5817 220.7089 219.6453 12-May-23
28 NZD 1462.8536 1478.413 1470.6333 12-May-23
29 PKR 7.5739 7.9969 7.7854 12-May-23
30 RWF 2.0442 2.0986 2.0714 12-May-23
31 SAR 614.3529 620.4799 617.4164 12-May-23
32 SDR 3105.4246 3136.4788 3120.9517 12-May-23
33 SEK 224.5966 226.7829 225.6898 12-May-23
34 SGD 1736.1686 1753.266 1744.7173 12-May-23
35 UGX 0.5951 0.6244 0.6097 12-May-23
36 USD 2304.0694 2327.11 2315.5897 12-May-23
37 GOLD 4689990.676 4738054.1378 4714022.4069 12-May-23
38 ZAR 120.3339 121.4503 120.8921 12-May-23
39 ZMW 122.4629 127.1645 124.8137 12-May-23
40 ZWD 0.4311 0.4399 0.4355 12-May-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news