Waziri Mkuu azindua Taasisi ya Binti Lindi Initiative

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea tuzo kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ilitolewa na Taasisi ya Binti Lindi Initiative wakati wa hafla ya uzinduzi wa taasisi hiyo iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam Mei 14, 2023. Kulia ni Mkurugenzi wa taasisi hiyo, Kija Yunus. 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua Taasisi ya Binti Lindi Initiative kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam. 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mwanaharakati wa Masuala ya Watu wenye Ulemavu Sophia Mbeyele wakati wa hafla ya uzinduzi wa Taasisi ya Binti Lindi Initiative iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam Mei 14, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news