Burundi waendelea kujinoa Benjamin Mkapa Stadium

NA MWANDISHI WETU

WACHEZAJI wa timu ya Taifa ya Burundi leo wamefanya mazoezi katika Uwanja wa michezo wa Kimataifa wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam ambao unatumiwa na nchi kadhaa za jirani baada ya viwanja katika nchi hizo kutokidhi vigezo vya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF).




Burundi itachuana na Namibia siku ya Jumatano Juni 20, 2023 katika uwanja huo ikiwa ni mchezo wa kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news