Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 18,2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan amemuagiza Msajili wa Hazina, Nehemia Mchechu kufanya tathmini kwenye mashirika ya umma ili kubaini mashirika yaliyoshindwa kujiendesha na hivyo kuisababishia serikali hasara. Ametoa agizo hilo Juni 17, 2023 kwenye sherehe za miaka 25 ya Benki ya NMB, iliyoambatana na kutoa gawio kwa serikali.













Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news