Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 28,2023


Wei Zhang (54) ambaye ni raai wa China amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kujibu shtaka moja la kukutwa na majongoo bahari yenye uzito wa kilo 4.10, ambao wapo hatarini kutoweka nchini.

Zhang ambaye ni mfanyabiashara na mkazi wa Kinondoni jijini humo amefikishwa mahakamani hapo Juni 27, 2023 na kusomewa shtaka lake na Wakili wa Serikali Mwandamizi Grace Mwanga, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi.Wakili Mwanga amedai kuwa mshtakiwa anakabiliwa na kesi ya jinai namba 113/2023.
















Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news