Salamu za pongezi kutoka Menejimenti na Watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali


"Menejimenti na watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, tunakupongeza Bi.Irene Joseph Lesulie kwa kuaminiwa na kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan kuwa Naibu Kabidhi Wasii Mkuu. Kila la kheri katika majukumu mapya."

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news