Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Juni 2, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.59 na kuuzwa kwa shilingi 0.62 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.21 na kuuzwa kwa shilingi 2.23.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Juni 2, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 170.74 na kuuzwa kwa shilingi 1718.26 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2535.42 na kuuzwa kwa shilingi 2560.21.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.67 na kuuzwa kwa shilingi 16.81 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.09 na kuuzwa kwa shilingi 2.25.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 211.86 na kuuzwa kwa shilingi 213.89 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 116.70 na kuuzwa kwa shilingi 117.78.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2308.25 na kuuzwa kwa shilingi 2331.33 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7503.08 na kuuzwa kwa shilingi 7575.65.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2874.46 na kuuzwa kwa shilingi 2904.14 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.03 na kuuzwa kwa shilingi 2.09.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 628.45 na kuuzwa kwa shilingi 634.70 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 148.12 na kuuzwa kwa shilingi 149.43.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2466.59 na kuuzwa kwa shilingi 2492.19.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.52 na kuuzwa kwa shilingi 16.68 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 324.65 na kuuzwa kwa shilingi 327.76.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1503.59 na kuuzwa kwa shilingi 1518.86 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3064.19 na kuuzwa kwa shilingi 3094.84.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today June2nd, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 628.4537 634.7037 631.5787 02-Jun-23
2 ATS 148.1203 149.4327 148.7765 02-Jun-23
3 AUD 1503.5924 1518.8615 1511.227 02-Jun-23
4 BEF 50.5253 50.9725 50.7489 02-Jun-23
5 BIF 2.21 2.2267 2.2184 02-Jun-23
6 CAD 1701.7454 1718.2562 1710.0008 02-Jun-23
7 CHF 2535.4213 2560.2131 2547.8172 02-Jun-23
8 CNY 324.648 327.7562 326.2021 02-Jun-23
9 DEM 924.8898 1051.3326 988.1112 02-Jun-23
10 DKK 331.3068 334.5718 332.9393 02-Jun-23
11 ESP 12.2499 12.358 12.3039 02-Jun-23
12 EUR 2466.5933 2492.1917 2479.3925 02-Jun-23
13 FIM 342.7955 345.8331 344.3143 02-Jun-23
14 FRF 310.7202 313.4688 312.0945 02-Jun-23
15 GBP 2874.4606 2904.1378 2889.2992 02-Jun-23
16 HKD 294.7276 297.6634 296.1955 02-Jun-23
17 INR 27.9925 28.2649 28.1287 02-Jun-23
18 ITL 1.0526 1.062 1.0573 02-Jun-23
19 JPY 16.5193 16.6833 16.6013 02-Jun-23
20 KES 16.6661 16.8084 16.7372 02-Jun-23
21 KRW 1.7478 1.7646 1.7562 02-Jun-23
22 KWD 7503.08 7575.6482 7539.3641 02-Jun-23
23 MWK 2.0932 2.2494 2.1713 02-Jun-23
24 MYR 500.5959 505.0541 502.825 02-Jun-23
25 MZM 35.8312 36.1334 35.9823 02-Jun-23
26 NLG 924.8898 933.0919 928.9908 02-Jun-23
27 NOK 206.3921 208.3275 207.3598 02-Jun-23
28 NZD 1387.0259 1401.8287 1394.4273 02-Jun-23
29 PKR 7.7015 8.1655 7.9335 02-Jun-23
30 RWF 2.0282 2.0866 2.0574 02-Jun-23
31 SAR 615.5163 621.6383 618.5773 02-Jun-23
32 SDR 3064.1986 3094.8406 3079.5196 02-Jun-23
33 SEK 211.8611 213.8874 212.8742 02-Jun-23
34 SGD 1706.1479 1722.8273 1714.4876 02-Jun-23
35 UGX 0.592 0.6208 0.6064 02-Jun-23
36 USD 2308.2476 2331.33 2319.7888 02-Jun-23
37 GOLD 4529220.2106 4575701.391 4552460.8008 02-Jun-23
38 ZAR 116.7014 117.7832 117.2423 02-Jun-23
39 ZMW 114.2347 118.6427 116.4387 02-Jun-23
40 ZWD 0.4319 0.4407 0.4363 02-Jun-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news