Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Juni 5, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.59 na kuuzwa kwa shilingi 0.62 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.21 na kuuzwa kwa shilingi 2.23.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Juni 5, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1719.01 na kuuzwa kwa shilingi 1735.55 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2548.81 na kuuzwa kwa shilingi 2573.16.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.65 na kuuzwa kwa shilingi 16.79 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.11 na kuuzwa kwa shilingi 2.25.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 215.16 na kuuzwa kwa shilingi 217.25 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 118.80 na kuuzwa kwa shilingi 119.94.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2308.45 na kuuzwa kwa shilingi 2331.54 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7507.90 na kuuzwa kwa shilingi 7580.52.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2891.11 na kuuzwa kwa shilingi 2920.95 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.03 na kuuzwa kwa shilingi 2.08.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 628.53 na kuuzwa kwa shilingi 634.76 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 148.13 na kuuzwa kwa shilingi 149.45.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2484.13 na kuuzwa kwa shilingi 2509.90.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.62 na kuuzwa kwa shilingi 16.79 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 326.69 na kuuzwa kwa shilingi 329.84.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1528.66 na kuuzwa kwa shilingi 1544.41 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3070.01 na kuuzwa kwa shilingi 3100.71.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today June 5th, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 628.5274 634.7608 631.6441 05-Jun-23
2 ATS 148.1336 149.4462 148.7899 05-Jun-23
3 AUD 1528.6592 1544.4121 1536.5357 05-Jun-23
4 BEF 50.5299 50.9771 50.7535 05-Jun-23
5 BIF 2.2102 2.2269 2.2186 05-Jun-23
6 CAD 1719.0077 1735.5515 1727.2796 05-Jun-23
7 CHF 2548.8081 2573.1597 2560.9839 05-Jun-23
8 CNY 326.6991 329.8447 328.2719 05-Jun-23
9 DEM 924.9731 1051.4273 988.2002 05-Jun-23
10 DKK 333.5967 336.8839 335.2403 05-Jun-23
11 ESP 12.251 12.3591 12.305 05-Jun-23
12 EUR 2484.1289 2509.9029 2497.0159 05-Jun-23
13 FIM 342.8264 345.8642 344.3453 05-Jun-23
14 FRF 310.7482 313.497 312.1226 05-Jun-23
15 GBP 2891.1096 2920.9534 2906.0315 05-Jun-23
16 HKD 294.5961 297.5383 296.0672 05-Jun-23
17 INR 28.0295 28.3005 28.165 05-Jun-23
18 ITL 1.0527 1.0621 1.0574 05-Jun-23
19 JPY 16.6243 16.787 16.7057 05-Jun-23
20 KES 16.6495 16.7918 16.7207 05-Jun-23
21 KRW 1.7727 1.7897 1.7812 05-Jun-23
22 KWD 7507.9047 7580.5183 7544.2115 05-Jun-23
23 MWK 2.109 2.2462 2.1776 05-Jun-23
24 MYR 504.5804 509.0698 506.8251 05-Jun-23
25 MZM 35.5694 35.8698 35.7196 05-Jun-23
26 NLG 924.9731 933.1759 929.0745 05-Jun-23
27 NOK 209.7585 211.7715 210.765 05-Jun-23
28 NZD 1406.5419 1421.7731 1414.1575 05-Jun-23
29 PKR 7.6814 8.1608 7.9211 05-Jun-23
30 RWF 2.0264 2.0802 2.0533 05-Jun-23
31 SAR 615.4896 621.6114 618.5505 05-Jun-23
32 SDR 3070.0149 3100.7151 3085.365 05-Jun-23
33 SEK 215.1564 217.2492 216.2028 05-Jun-23
34 SGD 1716.579 1733.487 1725.033 05-Jun-23
35 UGX 0.5941 0.6234 0.6088 05-Jun-23
36 USD 2308.4554 2331.54 2319.9977 05-Jun-23
37 GOLD 4568179.3963 4614583.9677 4591381.682 05-Jun-23
38 ZAR 118.8015 119.9395 119.3705 05-Jun-23
39 ZMW 113.7517 118.1424 115.947 05-Jun-23
40 ZWD 0.4319 0.4407 0.4363 05-Jun-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news