Hii hapa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi jijini Dodoma



Picha ya pamoja ya Menejimenti ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi) mara baada ya kukagua ujenzi wa jengo la Ofisi la wizara hiyo, eneo la Mtumba jijini Dodoma.

Muonekano wa hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi eneo la Mtumba jijini Dodoma. Jengo hilo limefikia asilimia 68.

Sehemu ya menejimenti ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi), wakikagua maendeleo ya ujenzi wa jengo jipya la Ofisi la Wizara hiyo, eneo la Mtumba, jijini Dodoma.

Sehemu ya menejimenti ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi), wakimsikiliza Msimamizi wa Mradi wa jengo la Ofisi la Wizara hiyo Arch. Ibrahim Chatila, wakati wa ukaguzi wa maendeleo ya jengo hilo ambalo limefikia asilimia 68, eneo la Mtumba, jijini Dodoma.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news