Spika Dkt.Tulia ubalozini nchini Italia

ROMA-Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 24 Julai, 2023 ametembelea Ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Italia zilizopo katika Jiji la Roma na kupokelewa na Mwenyeji wake Balozi wa Tanzania nchini humo Mhe. Mahmoud Thabit Kombo.
Katika ziara hiyo, Mhe. Dkt. Tulia ameambatana pia na Katibu wa Bunge Bi. Nenelwa Mwihambi ndc, Katibu wa Spika Ndg. Mathew Kileo pamoja na baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Bunge.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news