Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Julai 14, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.61 na kuuzwa kwa shilingi 0.64 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.22 na kuuzwa kwa shilingi 2.24.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Julai 14, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1590.11 na kuuzwa kwa shilingi 1607.18 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3121.22 na kuuzwa kwa shilingi 3152.32.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 225.32 na kuuzwa kwa shilingi 227.47 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 128.64 na kuuzwa kwa shilingi 129.82.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2322.68 na kuuzwa kwa shilingi 2345.91 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7583.28 na kuuzwa kwa shilingi 7654.11.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3031.79 na kuuzwa kwa shilingi 3063.29 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.97 na kuuzwa kwa shilingi 2.03.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 632.38 na kuuzwa kwa shilingi 638.65 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 149.05 na kuuzwa kwa shilingi 150.37.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2593.04 na kuuzwa kwa shilingi 2619.91.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.73 na kuuzwa kwa shilingi 16.90 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 324.16 na kuuzwa kwa shilingi 327.37.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.44 na kuuzwa kwa shilingi 16.58 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.06 na kuuzwa kwa shilingi 2.19.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1763.48 na kuuzwa kwa shilingi 1780.98 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2689.53 na kuuzwa kwa shilingi 2715.17.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today July 14th, 2023 according to Cent
ral Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 632.384 638.6556 635.5198 14-Jul-23
2 ATS 149.0467 150.3673 149.707 14-Jul-23
3 AUD 1590.1089 1607.1829 1598.6459 14-Jul-23
4 BEF 50.8413 51.2913 51.0663 14-Jul-23
5 BIF 2.2238 2.2406 2.2322 14-Jul-23
6 CAD 1763.4828 1780.9824 1772.2326 14-Jul-23
7 CHF 2689.5358 2715.1736 2702.3547 14-Jul-23
8 CNY 324.1571 327.3667 325.7619 14-Jul-23
9 DEM 930.674 1057.9076 994.2908 14-Jul-23
10 DKK 348.0457 351.4841 349.7649 14-Jul-23
11 ESP 12.3265 12.4353 12.3809 14-Jul-23
12 EUR 2593.0435 2619.9123 2606.4779 14-Jul-23
13 FIM 344.9393 347.9959 346.4676 14-Jul-23
14 FRF 312.6634 315.4292 314.0463 14-Jul-23
15 GBP 3031.7983 3063.2893 3047.5438 14-Jul-23
16 HKD 296.8969 299.8543 298.3756 14-Jul-23
17 INR 28.2957 28.5595 28.4276 14-Jul-23
18 ITL 1.0592 1.0686 1.0639 14-Jul-23
19 JPY 16.7352 16.9014 16.8183 14-Jul-23
20 KES 16.438 16.5789 16.5084 14-Jul-23
21 KRW 1.8318 1.8482 1.84 14-Jul-23
22 KWD 7583.2811 7654.1159 7618.6985 14-Jul-23
23 MWK 2.0585 2.1941 2.1263 14-Jul-23
24 MYR 506.3622 510.9802 508.6712 14-Jul-23
25 MZM 36.0273 36.3313 36.1793 14-Jul-23
26 NLG 930.674 938.9274 934.8007 14-Jul-23
27 NOK 230.7913 233.0297 231.9105 14-Jul-23
28 NZD 1474.6716 1490.3566 1482.5141 14-Jul-23
29 PKR 8.0244 8.5136 8.269 14-Jul-23
30 RWF 1.9664 2.0266 1.9965 14-Jul-23
31 SAR 619.1016 625.2592 622.1804 14-Jul-23
32 SDR 3121.2216 3152.4338 3136.8277 14-Jul-23
33 SEK 225.3217 227.4734 226.3975 14-Jul-23
34 SGD 1751.2502 1768.496 1759.8731 14-Jul-23
35 UGX 0.6084 0.6383 0.6234 14-Jul-23
36 USD 2322.6832 2345.91 2334.2966 14-Jul-23
37 GOLD 4541751.4404 4588130.778 4564941.1092 14-Jul-23
38 ZAR 128.6427 129.8213 129.232 14-Jul-23
39 ZMW 122.2863 125.3157 123.801 14-Jul-23
40 ZWD 0.4346 0.4434 0.439 14-Jul-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news