Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Julai 26, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.70 na kuuzwa kwa shilingi 16.84 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.09 na kuuzwa kwa shilingi 2.25.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Julai 26, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1800.04 na kuuzwa kwa shilingi 1817.49 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2733.04 na kuuzwa kwa shilingi 2759.09.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.62 na kuuzwa kwa shilingi 0.65 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.27 na kuuzwa kwa shilingi 2.29.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1605.56 na kuuzwa kwa shilingi 1622.09 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3190.00 na kuuzwa kwa shilingi 3221.90.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 227.93 na kuuzwa kwa shilingi 230.12 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 134.92 na kuuzwa kwa shilingi 136.22.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2372.28 na kuuzwa kwa shilingi 2396 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7728.55 na kuuzwa kwa shilingi 7803.29.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3043.87 na kuuzwa kwa shilingi 3074.45 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.99 na kuuzwa kwa shilingi 2.06.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 645.97 na kuuzwa kwa shilingi 652.26 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 152.23 na kuuzwa kwa shilingi 153.58.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.44 na kuuzwa kwa shilingi 0.45 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2620.89 na kuuzwa kwa shilingi 2647.58.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.78 na kuuzwa kwa shilingi 16.95 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 332.25 na kuuzwa kwa shilingi 335.48.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today July 26th, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 645.9746 652.2568 649.1157 26-Jul-23
2 ATS 152.2291 153.5779 152.9035 26-Jul-23
3 AUD 1605.5572 1622.092 1613.8246 26-Jul-23
4 BEF 51.9269 52.3865 52.1567 26-Jul-23
5 BIF 2.2713 2.2884 2.2799 26-Jul-23
6 CAD 1800.0434 1817.4922 1808.7678 26-Jul-23
7 CHF 2733.0382 2759.0972 2746.0677 26-Jul-23
8 CNY 332.2517 335.4803 333.866 26-Jul-23
9 DEM 950.5458 1080.4961 1015.5209 26-Jul-23
10 DKK 351.7716 355.2366 353.5041 26-Jul-23
11 ESP 12.5897 12.7008 12.6452 26-Jul-23
12 EUR 2620.8918 2647.58 2634.2359 26-Jul-23
13 FIM 352.3045 355.4263 353.8654 26-Jul-23
14 FRF 319.3395 322.1643 320.7519 26-Jul-23
15 GBP 3043.869 3074.5472 3059.2081 26-Jul-23
16 HKD 303.6632 306.688 305.1756 26-Jul-23
17 INR 28.984 29.2674 29.1257 26-Jul-23
18 ITL 1.0818 1.0914 1.0866 26-Jul-23
19 JPY 16.7854 16.952 16.8687 26-Jul-23
20 KES 16.7003 16.8436 16.7719 26-Jul-23
21 KRW 1.8577 1.8757 1.8667 26-Jul-23
22 KWD 7728.5461 7803.2893 7765.9177 26-Jul-23
23 MWK 2.0946 2.252 2.1733 26-Jul-23
24 MYR 520.2363 524.8631 522.5497 26-Jul-23
25 MZM 36.8194 37.13 36.9747 26-Jul-23
26 NLG 950.5458 958.9754 954.7606 26-Jul-23
27 NOK 234.3823 236.6373 235.5098 26-Jul-23
28 NZD 1476.0308 1491.9892 1484.01 26-Jul-23
29 PKR 7.9095 8.3549 8.1322 26-Jul-23
30 RWF 1.999 2.0616 2.0303 26-Jul-23
31 SAR 632.5398 638.8312 635.6855 26-Jul-23
32 SDR 3190.0012 3221.9012 3205.9512 26-Jul-23
33 SEK 227.9326 230.1257 229.0292 26-Jul-23
34 SGD 1786.2189 1803.4021 1794.8105 26-Jul-23
35 UGX 0.6251 0.6559 0.6405 26-Jul-23
36 USD 2372.2772 2396 2384.1386 26-Jul-23
37 GOLD 4644302.0198 4692518.08 4668410.0499 26-Jul-23
38 ZAR 134.9165 136.2223 135.5694 26-Jul-23
39 ZMW 119.2284 123.8243 121.5264 26-Jul-23
40 ZWD 0.4439 0.4529 0.4484 26-Jul-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news