Waziri Mkuu katika mkutano wa mataifa ya Afrika na Urusi

ST.PETERSBURG-Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amehudhuria Mkutano wa Pili wa Kilele baina ya Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa ya Afrika na Urusi uliofanyika St. Petersburg, Urusi Julai 27, 2023. Mheshimiwa Majaliwa anamwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano huo.

Mkutano huo umefunguliwa na Rais wa Urusi Vladmir Putin na Rais wa Comoro, Azali Assoumani, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news