Dkt.Jingu akutana na Kamati ya Kushughulikia changamoto za Wafanyabiashara nchini

Mwenyekiti wa Kamati maalum ya kushughulikia changamoto za wafanyabiashara nchini Dkt. John Jingu akiongoza kikao kuhusu Tathmini ya Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kamati hiyo, kikao kilifanyika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Dar es salaam tarehe 28 Agosti, 2023.
Katibu Mkuu Ofisi ya Wziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi akizungumza jambo wakati wa kikao cha Tathmini ya Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kamati Maalum ya kushughulikia Changamoto ya Biashara nchini, kikao kilifanyika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu Dar es Salaam, 28 Agosti, 2023.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bw. Elijah Mwandumbya akifafanua jambo wakati wa kikao cha Tathmini ya Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kamati Maalum ya kushughulikia Changamoto ya Biashara nchini, kikao kilifanyika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu Dar es Salaam tarehe 28 Agosti, 2023.
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil T. Abdallah akizungumza jambo wakati wa kikao hicho.
Mwenyekiti Jumuiya ya Wafanyakabiasha Tanzania Bw. Hamis Lwembe akiwasilisha wasilisho la Wafanyabisha kuhusu Mwenendo wa Ufanyaji wa biashara nchini wakati wa kikao kuhusu utekelezaji wa mapendekezo ya kushughulikia changamoto za wafanyabiasha nchini.
Baadhi ya wajumbe wa kikao cha Tathmini ya Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kamati Maalum ya kushughulikia Changamoto ya Biashara nchini wakifuatilia kikao hicho.
Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Kariakoo Bw. Martine Mbwana akizungumza wakati wa kikao cha Tathmini ya Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kamati Maalum ya kushughulikia Changamoto ya Biashara nchini, kikao kilifanyika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu Dar es salaam tarehe 28 Agosti, 2023.(Picha na OWM).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news