Mkurugenzi Mkuu wa NHC ateta na Wahandisi usiku huu Dodoma


Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Bw. Hamad Abdallah akiwa na Wahandisi wa miradi ya Ukandarasi inayotekelezwa na NHC katika Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma. Kikao hiki cha kiutendaji kinachoendelea usiku huu katika jengo la Mkandarasi kimehudhuriwa na Menejimenti ya NHC, lengo likiwa na kuhakikisha kuwa miradi hiyo inakamilika kwa wakati na kwa ubora unaotakiwa.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news