Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali yawafikia wengi Nanenane jijini Mbeya

Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Mary Makondo, akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali katika Maonesho ya Nanenane yanayoendelea katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya.
Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Boniphace Luhende (wapili kutoka kulia), akisaini Kitabu cha wageni alipowasili kwenye banda la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali katika Maonesho ya Nanenane yanayoendelea jijini Mbeya.
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Sarah Mwaipopo, akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili kwenye banda la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali katika Maonesho ya Nanenane yanayoendelea jijini Mbeya.
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Sarah Mwaipopo, akipitia kipeperushi cha Wizara ya Katiba na Sheria alipotembelea banda la Wizara hiyo katika Maonesho ya Nanenane yanayoendelea jijini Mbeya.
Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria, Mary Makondo akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi kutoka Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Watumishi wa Wizara hiyo pamoja na wananchi waliotembelea banda la Wizara ya Katiba na Sheria wakati wa Maonesho ya Nanenane yanayoendelea jijini Mbeya.
Mkurugenzi wa Idara ya Masoko na Mawasiliano kutoka Shirika la Bima la Taifa, Karim Meshack, akisaini Kitabu cha Wageni alipotembelea banda la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali katika Maonesho ya Nanenane yanayoendelea jijini Mbeya.
Mawakili wa Serikali Doreen Mhina na Michael Fyumagwa Wakiwasikiliza kwa makini wananchi waliotembelea banda la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali katika Maonesho ya Nanenane yanayoendelea Jijini Mbeya.
Naibu Kabidhi Wasii Mkuu Irene Lesulie, akisaini Kitabu cha Wageni alipotembelea Banda la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali katika Maonesho ya Nanenane yanayoendelea Jijini Mbeya.
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Jaji Mstaafu Mhe. Mathew Mwaimu akiwa katika Picha ya pamoja na Viongozi kutoka Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora na Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) alipotembelea banda la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali katika Maonesho ya Nanenane yanayoendelea Jijini Mbeya. Wa pili kutoka kulia ni Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Sarah Mwaipopo.
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Jaji Mstaafu Mhe. Mathew Mwaimu akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali katika Maonesho ya Nanenane yanayoendelea Jijini Mbeya. Wa kwanza kushoto ni Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Sarah Mwaipopo.
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Sarah Mwaipopo, akiwa katika picha ya pamoja na Watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali mara baada ya kuwasili katika banda la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali katika Maonesho ya Nanenane yanayoendelea Jijini Mbeya.
Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Mary Makondo (aliyesimama katikati) akiwa katika picha ya pamoja na watumishi kutoka Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali Pamoja na Wizara ya Katiba na Sheria alipotembelea Banda la Ofisi hiyo katika Maonesho ya Nanenane yanayoendelea Jijini Mbeya.
Mkurugenzi Msaidizi Udhibiti Ubora Mercy Kyamba akimsikiliza kwa makini mwananchi aliyetembelea banda la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali katika Maonesho ya Nanenane yanayoendelea jijini Mbeya.
Mkurugenzi Msaidizi Udhibiti Ubora, Mercy Kyamba, akielezea majukumu ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kwa mwananchi aliyetembelea banda la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali katika Maonesho ya Nanenane yanayoendelea jijini Mbeya. 

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news