Rais Dkt.Samia ateta na CEO wa Vodacom Afrika

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kundi la Makampuni ya Vodacom Afrika Bw. Mohamed Shameel Joosub mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam pamoja na ujumbe wake..Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kundi la Makampuni ya Vodacom Afrika Bw. Mohamed Shameel Joosub aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Afisa Mtendaji Mkuu wa Kundi la Makampuni ya Vodacom Afrika Bw. Mohamed Shameel Joosub aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam pamoja na ujumbe wake.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kundi la Makampuni ya Vodacom Afrika Bw. Mohamed Shameel Joosub mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Agosti, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye wa pili kutoka kulia kwenye picha ya kumbukumbu na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kundi la Makampuni ya Vodacom Afrika Bw. Mohamed Shameel Joosub, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC Bw. Philip Besiimire pamoja na Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano wa Kampuni hiyo Bi. Zuweina Farah Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Agosti, 2023.(Picha na Ikulu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news