TANZIA:Prof.Handely Mpoki Mafwenga,Afisa Usimamizi wa Fedha Mkuu Daraja la 1 wa Kitengo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) afariki

DAR ES SALAAM-Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha,Dkt.Natu E. Mwamba anasikitika kutangaza kifo cha mtumishi,Prof.Handely Mpoki Mafwenga.

Afisa Usimamizi wa Fedha Mkuu Daraja la 1 wa Kitengo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP),aliyefariki dunia usiku wa kuamkia Septemba 19,2023 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili,Dar Es Salaam.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news