Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Oktoba 20, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 225.05 na kuuzwa kwa shilingi 227.24 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 129.68 na kuuzwa kwa shilingi 130.87.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Oktoba 20, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 672.84 na kuuzwa kwa shilingi 679.53 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 158.58 na kuuzwa kwa shilingi 159.99.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2999.40 na kuuzwa kwa shilingi 3030.39 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.01 na kuuzwa kwa shilingi 2.06.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.46 na kuuzwa kwa shilingi 0.47 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2612.89 na kuuzwa kwa shilingi 2639.27.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.50 na kuuzwa kwa shilingi 16.64 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 337.87 na kuuzwa kwa shilingi 341.17.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.50 na kuuzwa kwa shilingi 16.64 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.97 na kuuzwa kwa shilingi 2.14.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.63 na kuuzwa kwa shilingi 0.66 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.87 na kuuzwa kwa shilingi 0.87.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2471.29 na kuuzwa kwa shilingi 2496 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7990.45 na kuuzwa kwa shilingi 8067.75.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1800.05 na kuuzwa kwa shilingi 1817.39 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2757.82 na kuuzwa kwa shilingi 2784.16.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1561.85 na kuuzwa kwa shilingi 1578.72 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3240.35 na kuuzwa kwa shilingi 3272.75.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today October 20th, 2023 according to Central Bank;
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 672.8436 679.535 676.1893 20-Oct-23
2 ATS 158.5825 159.9877 159.2851 20-Oct-23
3 AUD 1561.8535 1578.72 1570.2867 20-Oct-23
4 BEF 54.0941 54.5729 54.3335 20-Oct-23
5 BIF 0.8668 0.8747 0.8708 20-Oct-23
6 CAD 1800.0489 1817.3875 1808.7182 20-Oct-23
7 CHF 2757.8252 2784.1606 2770.9929 20-Oct-23
8 CNY 337.8753 341.1747 339.525 20-Oct-23
9 DEM 990.218 1125.5919 1057.905 20-Oct-23
10 DKK 350.1597 353.6313 351.8955 20-Oct-23
11 ESP 13.1151 13.2309 13.173 20-Oct-23
12 EUR 2612.8918 2639.2704 2626.0811 20-Oct-23
13 FIM 367.0083 370.2605 368.6344 20-Oct-23
14 FRF 332.6675 335.6101 334.1388 20-Oct-23
15 GBP 2999.4012 3030.3936 3014.8974 20-Oct-23
16 HKD 315.8114 318.9614 317.3864 20-Oct-23
17 INR 29.7368 30.0292 29.883 20-Oct-23
18 ITL 1.127 1.137 1.132 20-Oct-23
19 JPY 16.4983 16.6622 16.5803 20-Oct-23
20 KES 16.5028 16.6456 16.5742 20-Oct-23
21 KRW 1.8204 1.8372 1.8288 20-Oct-23
22 KWD 7990.4524 8067.7484 8029.1004 20-Oct-23
23 MWK 1.9702 2.1444 2.0573 20-Oct-23
24 MYR 518.7421 523.4899 521.116 20-Oct-23
25 MZM 38.4157 38.7397 38.5777 20-Oct-23
26 NLG 990.218 998.9994 994.6087 20-Oct-23
27 NOK 223.9296 226.1074 225.0185 20-Oct-23
28 NZD 1440.7604 1456.416 1448.5882 20-Oct-23
29 PKR 8.5919 9.0027 8.7973 20-Oct-23
30 RWF 2.0093 2.0579 2.0336 20-Oct-23
31 SAR 658.8693 665.4225 662.1459 20-Oct-23
32 SDR 3240.3516 3272.7552 3256.5534 20-Oct-23
33 SEK 225.0553 227.2438 226.1495 20-Oct-23
34 SGD 1800.8359 1818.7117 1809.7738 20-Oct-23
35 UGX 0.6328 0.664 0.6484 20-Oct-23
36 USD 2471.2872 2496 2483.6436 20-Oct-23
37 GOLD 4832923.2476 4883374.08 4858148.6638 20-Oct-23
38 ZAR 129.6801 130.8739 130.277 20-Oct-23
39 ZMW 111.4953 115.8237 113.6595 20-Oct-23
40 ZWD 0.4624 0.4718 0.4671 20-Oct-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news