MIAKA MITATU YA RAIS DKT.MWINYI: Tumekukopesha imani, umetulipa maendeleo

ZANZIBAR-Moja ya mafanikio yaliyofikiwa na Serikali ya Awamu ya Nane inayoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi katika kipindi cha miaka mitatu ni kuongeza kima cha Pensheni Jamii kwa wazee kutoka shilingi 20,000 hadi shilingi 50,000 sawa na asilimia 150.

Mkaazi wa Koani mjini Unguja, Bi. Mwajuma Silima Khamis anasema kuwa, ndani ya miaka mitatu ya Mheshimiwa Rais Dkt.Mwinyi mafanikio ni mengi katika kila sekta.
 
...tumekukopesha imani, umetulipa maendeleo, "Tunakushukuru sana Mheshimiwa Rais Dkt.Hussein Ali Mwinyi kwa kutuongezea fedha kutoka shilingi 20,000 hadi shilingi 50,000 ambapo fedha hizi zinatusaidia katika mahitaji yetu ya kila siku, tunamuomba Mwenyezi Mungu akuzidishie imani kwa kututhamini sisi wazee."

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news