MIAKA MITATU YA RAIS DKT.MWINYI: Wastaafu wanatabasamu kupitia pensheni nono

ZANZIBAR-Moja ya mafanikio yaliyofikiwa na Serikali ya Awamu ya Nane inayoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi katika kipindi cha Miaka Mitatu ni kuongeza kima cha Pensheni kwa wastaafu hadi kufikia asilimia 100.

Naye Mzee Iddi Suleiman Jaku kutoka Kidimni mjini Unguja ansema, "Tunamshukuru Mheshimiwa Rais Dkt.Hussein Ali Mwinyi kwa kutufikiria sisi wazee wastaafu kwa kutuongezea kima cha fedha ambapo sasa napokea shilingi 250,000 kutoka shilingi 115,000."

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news