Rais Dkt.Samia awasili nchini India

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Indira Gandhi, New Delhi nchini India kwa ajili ya kuanza rasmi ziara ya Kitaifa tarehe 08 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Indira Gandhi, New Delhi nchini India kwa ajili ya kuanza rasmi ziara ya Kitaifa tarehe 08 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Indira Gandhi, New Delhi nchini India kwa ajili ya kuanza rasmi ziara ya Kitaifa tarehe 08 Oktoba, 2023.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news