Tanzania yasikitishwa na vifo vya watu wasio na hatia Israel na Palestina

DODOMA-Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeelezea kusikitishwa kwake na vifo vya watu wasio na hatia kutokana na vurugu zinazoendelea kufuatia vita kati ya Israel na Palestina.

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeungana na familia zilizofiwa kuomboleza vifo vya wapendwa wao huku ikiwaombea majeruhi wapone haraka.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki leo Oktoba 8,2023. Taarifa hiyo imeeleza kuwa;

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news