Rais Dkt.Samia azindua Ripoti ya 2022 TDHS-MIS


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi, Watumishi wa Sekta ya Afya pamoja na wageni mbalimbali kutoka ndani na Nje ya Nchi wakati akizindua Ripoti ya Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya malaria Tanzania kwa mwaka 2022 (The 2022 Tanzania Demographic and Health Survey and Malaria Indicator Survey (2022 TDHS-MIS) kwenye hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Oktoba, 2023.
Msanii Mrisho Mpoto akitumbuiza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Ripoti ya Utafiti wa afya ya Uzazi na mtoto na Viashiria vya malaria Tanzania kwa mwaka 2022 iliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Oktoba, 2023.

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Hamis Nderiananga akifurahia jambo wakati wa uzinduzi wa Ripoti ya Utafiti wa afya ya Uzazi na mtoto na Viashiria vya malaria Tanzania kwa mwaka 2022 iliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Oktoba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Kitabu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. John Jingu mara baada ya uzinduzi wa Ripoti ya Utafiti wa afya ya Uzazi na mtoto na Viashiria vya malaria Tanzania kwa mwaka 2022 kwenye hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Oktoba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Kitabu Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mhe. Michael Battle mara baada ya uzinduzi wa Ripoti ya Utafiti wa afya ya Uzazi na mtoto na Viashiria vya malaria Tanzania kwa mwaka 2022 kwenye hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Oktoba, 2023.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news