Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Novemba 28,2023

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2497.03 na kuuzwa kwa shilingi 2522 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8096.99 na kuuzwa kwa shilingi 8175.30.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Novemba 28, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1832.28 na kuuzwa kwa shilingi 1850.06 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2836.89 na kuuzwa kwa shilingi 2863.96.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1649.79 na kuuzwa kwa shilingi 1666.79 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3280.75 na kuuzwa kwa shilingi 3313.55.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 239.48 na kuuzwa kwa shilingi 241.81 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 134.00 na kuuzwa kwa shilingi 135.32.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 679.93 na kuuzwa kwa shilingi 686.69 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 160.23 na kuuzwa kwa shilingi 161.65.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.46 na kuuzwa kwa shilingi 0.47 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2733.49 na kuuzwa kwa shilingi 2761.84.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.79 na kuuzwa kwa shilingi 16.95 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 349.12 na kuuzwa kwa shilingi 352.55.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.33 na kuuzwa kwa shilingi 16.47 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.38 na kuuzwa kwa shilingi 1.48.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.63 na kuuzwa kwa shilingi 0.66 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.87 na kuuzwa kwa shilingi 0.88.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3154.75 na kuuzwa kwa shilingi 3187.30 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.00 na kuuzwa kwa shilingi 2.05.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today November 28th, 2023 according to Central Bank;

S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 679.9264 686.6882 683.3073 28-Nov-23
2 ATS 160.2344 161.6542 160.9443 28-Nov-23
3 AUD 1649.7875 1666.7898 1658.2887 28-Nov-23
4 BEF 54.6575 55.1413 54.8994 28-Nov-23
5 BIF 0.8741 0.8821 0.8781 28-Nov-23
6 CAD 1832.2789 1850.0587 1841.1688 28-Nov-23
7 CHF 2836.889 2863.9564 2850.4227 28-Nov-23
8 CNY 349.1227 352.5547 350.8387 28-Nov-23
9 DEM 1000.5328 1137.3168 1068.9248 28-Nov-23
10 DKK 366.7572 370.3704 368.5638 28-Nov-23
11 ESP 13.2518 13.3687 13.3102 28-Nov-23
12 EUR 2733.4984 2761.8422 2747.6703 28-Nov-23
13 FIM 370.8313 374.1173 372.4743 28-Nov-23
14 FRF 336.1328 339.1062 337.6195 28-Nov-23
15 GBP 3154.7474 3187.3036 3171.0255 28-Nov-23
16 HKD 320.5429 323.7401 322.1415 28-Nov-23
17 INR 29.9615 30.2503 30.1059 28-Nov-23
18 ITL 1.1387 1.1488 1.1438 28-Nov-23
19 JPY 16.7913 16.9558 16.8735 28-Nov-23
20 KES 16.3311 16.4729 16.402 28-Nov-23
21 KRW 1.9219 1.9401 1.931 28-Nov-23
22 KWD 8096.9866 8175.3056 8136.1461 28-Nov-23
23 MWK 1.3783 1.4835 1.4309 28-Nov-23
24 MYR 533.6674 538.5436 536.1055 28-Nov-23
25 MZM 38.6537 38.9799 38.8168 28-Nov-23
26 NLG 1000.5328 1009.4056 1004.9692 28-Nov-23
27 NOK 234.1112 236.3858 235.2485 28-Nov-23
28 NZD 1522.9384 1539.1766 1531.0575 28-Nov-23
29 PKR 8.4721 8.8803 8.6762 28-Nov-23
30 RWF 2.0033 2.0513 2.0273 28-Nov-23
31 SAR 665.8391 672.3899 669.1145 28-Nov-23
32 SDR 3280.7475 3313.5549 3297.1512 28-Nov-23
33 SEK 239.4819 241.8071 240.6445 28-Nov-23
34 SGD 1868.0555 1886.0305 1877.043 28-Nov-23
35 UGX 0.6325 0.6628 0.6477 28-Nov-23
36 USD 2497.0298 2522 2509.5149 28-Nov-23
37 GOLD 5027794.2772 5079560.2 5053677.2386 28-Nov-23
38 ZAR 134.0047 135.3229 134.6638 28-Nov-23
39 ZMW 102.8501 106.8644 104.8572 28-Nov-23
40 ZWD 0.4673 0.4767 0.472 28-Nov-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news