Kataa Dawa za Kulevya Timiza Malengo Yako, toa taarifa sahihi kuhusu wanaojihusisha na biashara hiyo hatari kwa usalama wa jamii na Taifa, piga simu bure kupitia 119

MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imewaomba wananchi kuendelea kutoa ushirikiano kwa kutoa taarifa za wahalifu wa dawa za kulevya kwa kupiga namba ya bure ya 119 ambapo taarifa zitapokelewa kwa usiri mkubwa na kufanyiwa kazi.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news