NHC yatwaa tuzo kwa kuwa mlipa kodi mahiri

DAR ES SALAAM-Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) leo imepewa tuzo na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kuwa mlipa kodi mahiri kwenye kundi la Walipa kodi wakubwa wa Taasisi za umma kwa mwaka 2022/23.
Zawadi hiyo amekabidhiwa Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Hamad Abdallah na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mheshimiwa Dotto Mashaka Biteko katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam, wakati wa hafla ya kuwatambua walipa kodi iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news