DAR ES SALAAM-Baraza la Taifa la Mitihani (NECTA), Novemba 23,2023 limetangaza rasmi matokeo ya mtihani wa darasa la saba huku ufaulu wa jumla ukiwa umeongezeka kwa asilimia 0.96.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo jijini Dar es salaam na Katibu Mtendaji wa NECTA, Dkt. Said Mohamed, wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu matokeo ya mtihani wa kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE). Bonyeza mkoa wako hapa chini;
Ni mtihani uliofanyika Septemba 2023, ambapo amesema kuwa, jumla ya watahiniwa 1,092,960 sawa na asilimia 80.58 ya watahiniwa 1,356,296 wamefaulu ambapo wamepata Daraja A, B na C huku wavulana wakiwa ni asilimia 80.59 na wasichana asilimia 80.59. Zaidi soma NECTA yatangaza matokeo ya darasa la saba 2023

|