Rais Dkt.Mwinyi:Zanzibar Karume Boys mmetupa heshima


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akifurahia bao la nne la mkwaju wa penalti lililoipa ubingwa wa CECAFA, Zanzibar Karume Boys kwa vijana chini ya umri wa miaka 15. Uganda ndio walikuwa mabingwa watetezi wa Kombe hilo.Rais Dkt. Mwinyi alikuwa akifuatilia fainali hiyo ofisini kwake Ikulu Mnazi Mmoja.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news