Mama Mariam Mwinyi ateta na Malkia Camilla wa UingerezaMke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi amekutana na Malkia Camilla Rosemary Shand Mke wa Mfalme Charles III wa Uingereza katika mkutano wa Viongozi Wanawake ulioandaliwa na Jumuiya ya Madola ukumbi wa Marlborough House, London Uingereza tarehe 15 Novemba 2023.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news