ACHENI TABIA YA KUZIDISHA ABIRIA

NJOMBE-Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Njombe Kostebo James Desemba 24, 2023 ametoa elimu kwa dereva wa Pikipiki madhara ya kupakia abiria wengi kwenye chombo cha moto.
Pia, amemtaka dereva kuacha tabia hiyo kwani ni hatarishi kwa wale ambao amewapakia pindi inapotokea tatizo.

Sambamba na hilo, amemtaka dereva kuendelea kuzingatia sheria za usalama barabarani kwa kuelimisha wengine.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news