Dkt.Yonazi aongoza kikao cha Kamati Elekezi ya Kitaifa ya NAIA









Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi ameongoza kikao cha Kamati Elekezi ya Kitaifa ya kuwekeza katika Afya na Maendeleo ya Vijana Balehe (NAIA) pamoja na Programu Jumuishi ya Taifa ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto (PJT- MMMAM) kilichofanyika katika Ukumbi wa Ofisi hiyo Desemba 19, 2023 jijini Dodoma.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news