Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Desemba 28,2023

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2492.08 na kuuzwa kwa shilingi 2517 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8110.12 na kuuzwa kwa shilingi 8188.56.
Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1887.79 na kuuzwa kwa shilingi 1906.09 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2923.60 na kuuzwa kwa shilingi 2951.45.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Desemba 28, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 16705.08 na kuuzwa kwa shilingi 1722.38 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3274.24 na kuuzwa kwa shilingi 3306.98.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 249.8 na kuuzwa kwa shilingi 251.91 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 134.88 na kuuzwa kwa shilingi 136.07.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 678.61 na kuuzwa kwa shilingi 685.21 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 159.92 na kuuzwa kwa shilingi 161.33.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.46 na kuuzwa kwa shilingi 0.47 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2758.23 na kuuzwa kwa shilingi 2786.82.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 13.97 na kuuzwa kwa shilingi 16.03 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.37 na kuuzwa kwa shilingi 1.48.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.64 na kuuzwa kwa shilingi 0.67 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.87 na kuuzwa kwa shilingi 0.88.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3175.66 na kuuzwa kwa shilingi 3208.42 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.97 na kuuzwa kwa shilingi 2.02.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today December 28th, 2023 according to Central Bank;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED678.6153685.2149681.915128-Dec-23
2ATS159.9168161.3338160.625328-Dec-23
3AUD1705.08061722.38311713.731928-Dec-23
4BEF54.549255.03254.790628-Dec-23
5BIF0.87180.87830.87528-Dec-23
6CAD1887.79581906.09621896.94628-Dec-23
7CHF2923.6032951.4542937.528528-Dec-23
8CNY348.6986352.1264350.412528-Dec-23
9DEM998.54921135.0621066.805628-Dec-23
10DKK370.0741373.7471371.910628-Dec-23
11ESP13.225513.342213.283828-Dec-23
12EUR2758.23322786.82242772.527828-Dec-23
13FIM370.0961373.3757371.735928-Dec-23
14FRF335.4664338.4338336.950128-Dec-23
15GBP3175.65653208.41993192.038228-Dec-23
16HKD319.121322.308320.714528-Dec-23
17INR29.92230.201230.061628-Dec-23
18ITL1.13651.14651.141528-Dec-23
19JPY17.482117.655717.568928-Dec-23
20KES15.974916.031916.003428-Dec-23
21KRW1.92621.94381.93528-Dec-23
22KWD8110.1258188.56148149.343228-Dec-23
23MWK1.37561.48061.428128-Dec-23
24MYR538.5951543.5111541.053128-Dec-23
25MZM38.684939.011138.84828-Dec-23
26NLG998.54921007.40451002.976828-Dec-23
27NOK245.6678248.0316246.849728-Dec-23
28NZD1576.73851593.51271585.125628-Dec-23
29PKR8.41028.92568.667928-Dec-23
30RWF1.96842.01681.992628-Dec-23
31SAR664.5544671.1284667.841428-Dec-23
32SDR3274.24323306.98563290.614428-Dec-23
33SEK249.4799251.904250.69228-Dec-23
34SGD1885.51051903.64551894.57828-Dec-23
35UGX0.63630.66760.65228-Dec-23
36USD2492.079225172504.539628-Dec-23
37GOLD5150629.3075207169.65178899.453528-Dec-23
38ZAR134.8776136.1954135.536528-Dec-23
39ZMW94.796798.512796.654728-Dec-23
40ZWD0.46640.47580.471128-Dec-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news