IDA20:Rais wa Benki ya Dunia awasili Zanzibar

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango-Zanzibar, Mhe. Dkt. Saada Salum Mkuya (Mb), wakimpokea Rais wa Benki ya Dunia, Bw. Ajay Banga, wakati akiwasili katika Uwanja wa Kimataifa wa Amani Abeid Karume, kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Tathimini ya Muda wa Kati wa Mzunguko wa 20 wa Benki ya Dunia (IDA20 Mid-Term Review) unaohusisha wakopaji, nchi Wahisani na Menejimenti ya Benki ya Dunia, utakaofanyika Zanzibar, kuanzia tarehe 6 hadi 8 Desemba, 2023.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news