MAAFA KATESH:Kazi inaendelea usiku na mchana

MANYARA-Kazi ya kuondoa tope katika Mji wa Kateshi Wilaya ya Hanang’ Mkoa wa Manyara imeendelea kufanyika usiku na mchana.



Huu ni utekelezaji wa maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhakikisha mji huo unarejea katika hali yake ya awali.
Ni baada ya kuharibiwa na maporomoko ya matope kutoka Mlima Hanang’ na kusababisha madhara ikiwemo vifo, majeruhi na uharibifu wa mali na miundombinu.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news