MAAFA KATESH:Serikali,wadau waonesha mshikamano kutoa huduma,kuurejesha upya mji

MANYARA-Wananchi wamepokea kwa muitikio chanya zoezi la kuhifadhi waathirika wa maporomoko ya mawe na matope kutoka Mlima Hanang' kwa kushrikiana na Serikali.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Mhe. Jenista Mhagama akiongoza zoezi ufunguaji wa barabara na uondoaji wa tope katika Mji wa Katesh katika Halmashauri ya Hanang'.

Uratibu wa zoezi hilo unaenda sanjari na ugawaji wa vifaa vya msaada wa kibinadamu kwa waathirika wa maafa hayo.


Hatua hiyo inaenda sambamba na hali ya urejeshaji hali katika Mji wa Katesh, Halmashauri ya Wilaya ya Hanang' mkoani Manyara, huku shughuli ya uondoaji wa tope katika barabara na mitaa ya Mji wa Katesh ikiendelea.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news