Mwenyekiti wa Umoja wa Wana Makorongoni wa Kata ya Iringa Mjini, Juma Kibasila anawaalika wanachama wote katika Mkutano Mkuu

IRINGA-Mwenyekiti wa Umoja wa Wana Makorongoni wa Kata ya Iringa Mjini, Juma Kibasila anawaalika wanachama wote na wapenda maendeleo wa kata hiyo kushiriki katika mkutano huo muhimu utakaosaidia kuchagiza maendeleo na kuondoa changamoto zilizopo ndani ya kata hizo.
Hivyo,ukiwa ni mmoja wa Wana Makorongoni au mpenda maendeleo usipange kukosa siku hiyo muhimu ambayo itasaidia kuwasogeza wana umoja kutoka kona mbambalimbali za ndani na nje ya nchi, karibu tujumuike nasi.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news