Salamu za Sikukuu ya Krismasi kutoka taasisi, wizara,mashirika na wadau mbalimbali leo Desemba 25,2023

ZANZIBAR/DAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi anaungana na Wakristo na wananchi wote kwa ujumla katika kusherekea Sikukuu ya Krismasi ambapo anawatakia Heri na baraka katika kusherekea Sikukuu ya hii.
Katika msimu huu wa sikukuu,Rais Dkt. Mwinyi amewataka wananchi kusherehekea kwa amani na utulivu huku wakichukua tahadhari katika matumizi ya barabara sambamba na kujiepusha na vitendo viovu.

Rais Dkt. Mwinyi amesema, mwaka mpya 2024 utakuwa mwaka wa mafanikio makubwa kulingana na mipango ambayo Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imepanga ambayo itatekelezwa kwa wakati. 

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news