Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Januari 24,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3174.24 na kuuzwa kwa shilingi 3207.75 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.93 na kuuzwa kwa shilingi 1.98.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Januari 24, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2499.01 na kuuzwa kwa shilingi 2524 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8122.11 na kuuzwa kwa shilingi 8200.66.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1854.83 na kuuzwa kwa shilingi 1872.82 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2874.73 na kuuzwa kwa shilingi 2903.15.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1645.35 na kuuzwa kwa shilingi 1662.81 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3283.35 na kuuzwa kwa shilingi 3316.18.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 239.23 na kuuzwa kwa shilingi 241.55 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 131.24 na kuuzwa kwa shilingi 132.52.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 680.48 na kuuzwa kwa shilingi 687.10 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 160.36 na kuuzwa kwa shilingi 161.78.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.46 na kuuzwa kwa shilingi 0.47 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2714.67 na kuuzwa kwa shilingi 2742.07.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 15.43 na kuuzwa kwa shilingi 15.48 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.37 na kuuzwa kwa shilingi 1.48.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.63 na kuuzwa kwa shilingi 0.66 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.87 na kuuzwa kwa shilingi 0.88.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today January 24th, 2024 according to Central Bank;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED680.4841687.1019683.79324-Jan-24
2ATS160.3615161.7824161.07224-Jan-24
3AUD1645.34811662.81121654.079724-Jan-24
4BEF54.700955.185154.94324-Jan-24
5BIF0.87220.88020.876224-Jan-24
6BWP182.4277184.7568183.592324-Jan-24
7CAD1854.82811872.82041863.824224-Jan-24
8CHF2874.73822903.15162888.944924-Jan-24
9CNY348.5078351.9389350.223324-Jan-24
10CUC104.1254105.1667104.64624-Jan-24
11DEM1001.32621138.21871069.772524-Jan-24
12DKK364.043367.646365.844524-Jan-24
13DZD18.610718.714618.662724-Jan-24
14ESP13.262313.379313.320824-Jan-24
15EUR2714.67452742.07362728.37424-Jan-24
16FIM371.1254374.4141372.769724-Jan-24
17FRF336.3994339.375337.887224-Jan-24
18GBP3174.24243207.75163190.99724-Jan-24
19HKD319.4725322.6631321.067824-Jan-24
20INR30.061930.356330.209124-Jan-24
21IQD1.90911.92521.917224-Jan-24
22IRR0.05950.06010.059824-Jan-24
23ITL1.13961.14971.144724-Jan-24
24JPY16.885217.050616.967924-Jan-24
25KES15.42615.484715.455324-Jan-24
26KRW1.86721.8851.876124-Jan-24
27KWD8122.10718200.66288161.384924-Jan-24
28MWK1.37941.48471.43224-Jan-24
29MYR529.0029533.6152531.309124-Jan-24
30MZM38.840739.168239.004524-Jan-24
31NAD131.2643132.5143131.889324-Jan-24
32NGN2.7772.79852.787824-Jan-24
33NLG1001.32621010.20611005.766224-Jan-24
34NOK237.6049239.924238.764424-Jan-24
35NZD1520.39761535.8541528.125824-Jan-24
36PKR8.49099.01758.754224-Jan-24
37QAR685.5994692.2655688.932524-Jan-24
38RWF1.95792.00411.98124-Jan-24
39SAR666.3493672.9769669.663124-Jan-24
40SDR3283.34913316.18263299.765924-Jan-24
41SEK239.2267241.5542240.390524-Jan-24
42SGD1864.79361882.31781873.555724-Jan-24
43TRY82.543783.341682.942624-Jan-24
44UGX0.62880.66070.644824-Jan-24
45USD2499.009925242511.50524-Jan-24
46GOLD5058245.94065113119.25085682.570324-Jan-24
47ZAR131.245132.524131.884524-Jan-24
48ZMK91.129394.709292.919324-Jan-24
49ZWD0.46760.47710.472424-Jan-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news