Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Januari 3,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2495.57 na kuuzwa kwa shilingi 2517.5 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8105.14 na kuuzwa kwa shilingi 8183.53.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Januari 3, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1876.94 na kuuzwa kwa shilingi 1895.14 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2936.24 na kuuzwa kwa shilingi 2964.20.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1692.21 na kuuzwa kwa shilingi 1709.38 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3274.89 na kuuzwa kwa shilingi 3307.64.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 245.47 na kuuzwa kwa shilingi 247.86 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 134.59 na kuuzwa kwa shilingi 135.87.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 678.77 na kuuzwa kwa shilingi 685.37 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 159.95 na kuuzwa kwa shilingi 161.36.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.46 na kuuzwa kwa shilingi 0.47 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2731.61 na kuuzwa kwa shilingi 2759.93.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 15.88 na kuuzwa kwa shilingi 15.96 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.37 na kuuzwa kwa shilingi 1.48.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.63 na kuuzwa kwa shilingi 0.66 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.87 na kuuzwa kwa shilingi 0.88.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3152.11 na kuuzwa kwa shilingi 3184.64 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.96 na kuuzwa kwa shilingi 2.01.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today January 3rd, 2024 according to Central Bank;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED678.7687685.3697682.069203-Jan-24
2ATS159.9486161.3658160.657203-Jan-24
3AUD1692.20871709.38251700.795603-Jan-24
4BEF54.5655.04354.801503-Jan-24
5BIF0.87090.87850.874703-Jan-24
6BWP185.946189.0643187.505103-Jan-24
7CAD1876.93841895.1371886.037703-Jan-24
8CHF2936.24012964.20582950.22303-Jan-24
9CNY349.0511352.443350.747103-Jan-24
10CUC103.8573104.8958104.376503-Jan-24
11DEM998.74751135.28751067.017503-Jan-24
12DKK366.4688370.0791368.273903-Jan-24
13DZD18.549718.653318.601503-Jan-24
14ESP13.228113.344813.286503-Jan-24
15EUR2731.61212759.93532745.773703-Jan-24
16FIM370.1696373.4498371.809703-Jan-24
17FRF335.533338.501337.01703-Jan-24
18GBP3152.10943184.63753168.373503-Jan-24
19HKD318.9883322.1534320.570803-Jan-24
20INR29.922930.202130.062503-Jan-24
21IQD1.90421.92031.912203-Jan-24
22IRR0.05930.05990.059603-Jan-24
23ITL1.13671.14681.141703-Jan-24
24JPY17.533617.705217.619403-Jan-24
25KES15.876315.963915.920103-Jan-24
26KRW1.89961.91751.908603-Jan-24
27KWD8105.14188183.53228144.33703-Jan-24
28MWK1.37581.48091.428403-Jan-24
29MYR541.864546.6884544.276203-Jan-24
30MZM38.692639.018938.855703-Jan-24
31NAD134.6246135.8424135.233503-Jan-24
32NGN2.81972.84462.832103-Jan-24
33NLG998.74751007.60461003.176103-Jan-24
34NOK242.695245.0432243.869103-Jan-24
35NZD1563.09331578.9761571.034703-Jan-24
36PKR8.5648.9758.769503-Jan-24
37QAR684.2092690.4827687.34603-Jan-24
38RWF1.96272.01241.987503-Jan-24
39SAR664.6687671.2796667.974203-Jan-24
40SDR3274.89363307.64263291.268103-Jan-24
41SEK245.4698247.8635246.666703-Jan-24
42SGD1880.33661898.42391889.380303-Jan-24
43TRY83.866384.688284.277303-Jan-24
44UGX0.63250.66370.648103-Jan-24
45USD2492.57432517.52505.037103-Jan-24
46GOLD5148910.64365206945.255177927.946803-Jan-24
47ZAR134.5919135.8688135.230403-Jan-24
48ZMK94.077797.76795.922303-Jan-24
49ZWD0.46640.47590.471203-Jan-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news