Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Januari 30,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 681.97 na kuuzwa kwa shilingi 688.74 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 160.73 na kuuzwa kwa shilingi 162.15.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Januari 30, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.46 na kuuzwa kwa shilingi 0.47 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2712.65 na kuuzwa kwa shilingi 2740.78.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 15.51 na kuuzwa kwa shilingi 15.57 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.38 na kuuzwa kwa shilingi 1.48.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.63 na kuuzwa kwa shilingi 0.66 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.87 na kuuzwa kwa shilingi 0.88.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3182.29 na kuuzwa kwa shilingi 3215.12 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.93 na kuuzwa kwa shilingi 1.98.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2504.75 na kuuzwa kwa shilingi 2529.8 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8142.09 na kuuzwa kwa shilingi 8220.84.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1865.59 na kuuzwa kwa shilingi 1883.69 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2903.39 na kuuzwa kwa shilingi 2931.06.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1653.89 na kuuzwa kwa shilingi 1670.68 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3290.89 na kuuzwa kwa shilingi 3323.80.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 239.15 na kuuzwa kwa shilingi 241.48 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 133.61 na kuuzwa kwa shilingi 134.91.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today January 30th, 2024 according to Central Bank;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED681.9736688.737685.355330-Jan-24
2ATS160.73162.1542161.442130-Jan-24
3AUD1653.88811670.67991662.28430-Jan-24
4BEF54.826655.311955.069230-Jan-24
5BIF0.87430.88210.878230-Jan-24
6BWP183.8488186.1933185.021130-Jan-24
7CAD1865.59841883.69321874.645830-Jan-24
8CHF2903.38762931.06242917.22530-Jan-24
9CNY348.9437352.3349350.639330-Jan-24
10CUC104.3647105.4083104.886530-Jan-24
11DEM1003.62721140.83431072.230830-Jan-24
12DKK363.9941367.5806365.787330-Jan-24
13DZD18.639618.748818.694230-Jan-24
14ESP13.292713.4113.351430-Jan-24
15EUR2712.64692740.78532726.716130-Jan-24
16FIM371.9782375.2744373.626330-Jan-24
17FRF337.1724340.1549338.663630-Jan-24
18GBP3182.2883215.12283198.705430-Jan-24
19HKD320.6247323.8268322.225830-Jan-24
20INR30.131630.412830.272230-Jan-24
21IQD1.91351.92971.921630-Jan-24
22IRR0.05960.06020.059930-Jan-24
23ITL1.14221.15241.147330-Jan-24
24JPY16.936617.104817.020730-Jan-24
25KES15.509315.56815.538730-Jan-24
26KRW1.87671.89481.885730-Jan-24
27KWD8142.09438220.84298181.468630-Jan-24
28MWK1.38261.48811.435330-Jan-24
29MYR529.3222534.1639531.74330-Jan-24
30MZM38.881639.209539.045630-Jan-24
31NAD133.6082134.9011134.254630-Jan-24
32NGN2.7512.77542.763230-Jan-24
33NLG1003.62721012.52751008.077430-Jan-24
34NOK240.2571242.5899241.423530-Jan-24
35NZD1532.6581548.23761540.447830-Jan-24
36PKR8.68449.18.892230-Jan-24
37QAR687.2692693.7611690.515230-Jan-24
38RWF1.95922.00691.983130-Jan-24
39SAR667.934674.5774671.255730-Jan-24
40SDR3290.89413323.8033307.348630-Jan-24
41SEK239.1469241.4784240.312630-Jan-24
42SGD1867.96371886.50261877.233130-Jan-24
43TRY82.542583.337782.940130-Jan-24
44UGX0.63110.66230.646730-Jan-24
45USD2504.75252529.82517.276230-Jan-24
46GOLD5082136.00945134739.36075108437.685130-Jan-24
47ZAR133.606134.9068134.256430-Jan-24
48ZMK89.985693.523191.754330-Jan-24
49ZWD0.46870.47820.473530-Jan-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news