Kikao cha Kumi cha Kamati Kuu ya Kitaifa ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022


Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kitaifa ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 ameongoza kikao cha Kumi cha Kamati hiyo kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar tarehe 15 Januari, 2024.Kikao hicho pia kilihudhuriwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulah ambaye ni Mwenyekiti Mwenza wa Kamati hiyo.
Baadhi ya Viongozi wakichangia hoja wakati wa Kikao cha Kumi cha Kamati Kuu ya Kitaifa ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 wakifuatilia hoja wakati wa kikao hicho kilichofanyika Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news