Tuwaombee viongozi watimize ahadi walizoahidi-Rais Dkt.Mwinyi

ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhajj Dkt.Hussein Ali Mwinyi amewahimiza Waumini wa Dini ya Kiislamu kuendelea kuwaombea dua viongozi watimize ahadi walizoahidi.
Sambamba na kukabaliana na changamoto mbalimbali ikiwemo upandaji wa bidhaa za chakula duniani.
Rais Mhe.Alhajj Dkt.Mwinyi amesema hayo Januari 26,2024 alipojumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika ibada ya Sala ya Ijumaa Msikiti wa Tawba Mwembe Makumbi, Mkoa wa Mjini Magharibi.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news